mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
ni kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee ana hasira mgombea wake hayumo. Ila yote hiyo ni pesa ya ufisadi inalazimisha kununua nchi. Ila kwa ujasiri wa Kikwete hawamuwezi, kikwete yupo na wananchi na anawajua mafisadi vizuri na genge lao
Watanzania wote ambao mmesikiliza .mahojiano yaliyomallizika sasa hivi Azam/chanel 10 kati ya Charles Hilary. Na mzee Kingunge sentensi ya mwisho ya mzee huyu kasema."Kama viongozi wa chama hawatawaleta jina linalokubalika kwa wanachama na nje ya wanachama basi watakuwa na mpango wa kuangusha chama na hatimaye kusababisha vurugu ktk nchi." Mwisho wa kunukuu.Tutafakari kwa pamoja.
acha upotoshaji kuwadi wewe
Acha upotoshaji kuwadi wewe
Hiyo ni habari ya jana mkuu.
we unaangalia marudio ya jana