chadema Kuwa wabadhirifu kama ni kweli hayo ni matokeo ya Kuwa na serikali mbovu ambayo magufuli muda wote alikuwa waziri.Je alijiuzia au aliwauzia wananchi wa tanzania?? bado hili haliwezi kumfanya awe na doa kama ilivyokuwa kwa lowassa au chadema na ubadhilifu wa mali za chama
magufuri alisimamia kwa ukamilifu mnada wa nyumba za serikali na hiyo kitu itamtafuna hadi kaburini , kumbuka hili ni kati ya mambo mabaya kabisa kuwahi kufanywa na viongozi katika nchi hii .
bomoaboma hiyo inaanza
...........Nafuu apate mwanamke, wanaume wameshashindwa kuendeleza hii nchi.
Kuna mtu kakwambia haya mambo huyajui unajua tu diamond na alikiba, sasa nakubaliana nae, hujui chochote hapa, nenda celebrity ndio saizi yako mambo ya umbea,sio hapa maana unaandika usichokijua, nani msafi?
Hawawezi kupitisha wanawake wawili kuwa mgombea rais na mgombea mwenza. Coz yule wa zenji tayari ashakwaa ugombea mwenza. Na kwa jinsi kiktwete alivyovurugana na wakristo hawawezi kuleta muislamu tena kututawala. So magufuli ana mwanya mzuri wa kupita. Na mama migiro ni kipenzi cha mkwere so watu wa lowassa hawawezi kumpa kura wako radhi wampe mama mzenji au magufuli kuliko asha..................................mwisho wa yote bi.kiroboto ameshaharibu sifa za wanawake kuongoza so asha nae ni walewale
Kuna watu wanachekesha sana. Kwani Magufuli aliuza nyumba zote na fedha kaweka mfukoni mwake?hahaha hizo nyumba alijiuzia???
chadema Kuwa wabadhirifu kama ni kweli hayo ni matokeo ya Kuwa na serikali mbovu ambayo magufuli muda wote alikuwa waziri.
Kidumu chama tawalahahahaha mlimtaka lowassa ila mnapoamkia ndio chama kilipolalia. kidumu chama cha mapinduzi
Hivi uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wake binafsi ama wa Baraza la Mawaziri??Alieuza nyumba za serikali?
I smell something fishy! Hivi Migiro si amewahi kuwa kiongozi wa kimataifa?ni mwanamke na pia ni international figure! Well..well..well, , tulishatahadharishwa humu kuwa care na hawa watu wa kimataifa, some big fishes are behind them...mnamtaja Magufuli but...but..I smell sonething..
Mkuu, achana na hao jamaa. Wamechanganyikiwa baada ya fisadi kukatwaheeh hela alizokula josephine na slaa zimesababishwa na magufuli??
Ni baraza la mawaziriHivi uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wake binafsi ama wa Baraza la Mawaziri??