ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 247
- 107
we wajaribu waone tumeishasema tunamtaka mtu mwenye sifa na mchapa kazi magufuli basi,
upepo umebadilika tena?..ndo maana mimi nikasema mapema kabisa kuwa mpaka matokeo yatoke.
hahahahahaa.....ccm mkijiloga mkaleta mwanamke ukawa hawapigi ata kampeni