Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jamani mliopo dodoma tujuzane kinachoendelea maana naona hapa kwenye jukwaa ni ramli tupu.
 
WADAU NASIKIA HUKO DOM MEMBE NAE KAKATWA! ETI ILI KUONDOA MPASUKO mwenye kujua hili tafadhali
 
Sasa ccm mwageni mboga mwekeni yule mama asha rose ili utabiri wa shehe yahaya utimie,
 
Ahsante Lowassa. Wajumbe msimuangushe amina chinja hao magufuli na asharose dk slaa naomba usimsahau lowasa ubunge wa kuteuliwa na uwaziri wake umpe
 
ccm mkijiloga mkaleta mwanamke ukawa hawapigi ata kampeni
hahahahahaa.....

Huyo Membe mwenyewe mi naona UKAWA wakitulia wanam bwaga.

Hivi Bernand Membe ameifanyia nini nchi hii?

Tishio mi naona ni Magufuli.
 
Back
Top Bottom