Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Membe na Lowassa wote wameenda sawa hamna kulalamika ndiyo siasa zilivyo.

Magufuli kapita kwa kasi kachukuwa kura zenu daa!!!.


1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali #KaribuDodoma

UMOJA NI USHINDI
 
bora apite magufuli afadhari roho itatulia manake hii nchi ilipofika inatakiwa kupelekwa kibabe

Ndani ya Framework ya sera ya CCM.. Usitegemee Magufuli naye atapata muda wa kuonyesha ubabe.
 
Nimeota amina salumu ndo mgombea wa ccm na lowassa mgombea mwenza...dah hii ndoto hii cjui vp!!..ebu tusubir tuone itakuaje...mana kura za hasira za team lowassa zimeacha mpaka nikaota ivo..
 
Hapo ndo mtakapo zinduka kwa maslahi ya mababu zenu ... Team Lowassa go go go go .... Uhuni wa JK na wanae plus Mangula lazima waadabishwe .... hakuna namna ,....
Tanganyika iwe na rais mwanamke mzanzibari!?
 
UKAWA hawana uwezo wakuliangusha jembe magufuli!


Mkuu nakumbuka ulitumia muda mwingi sana humu JF kumpa PROMO Edward Fisadi Lowassa.. Baada ya kukatwa sasa uko kwa Magufuli. Hehehehe.

😂😂😂😂😂😂
 
Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose kumpa nafasi ndani ya chama, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.

Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.

Teh teh teh
 
Matokeo Top 3 ya Urais CCM (Jina/Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…