magufuli hajawahi kuwa msukuma....msumbwa/mnyambo
Yawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magufuli hajawahi kuwa msukuma....msumbwa/mnyambo
Matokeo 3 bora ya Urais CCM
▶Magufuli kura 290
▶Amina kura 284
▶Migiro kura 280
▶Makamba kura 124
▶Membe kura 120
Tayari kashakatwa hayupo top three
That was my thinking too,kama ni kweli sioni CCM ikishinda......upinzani wajipange vizuri wakishindwa this time nao wapotee tuu.[/QUO
CCM itashindwaje wakati tume ya uchaguzi imejaa makada wake?
Mkuu upinzani haujichagui wenyewe ,,,,,Lazima tutoke nyuma ya Keaybord twende kwenye Ballot Box
Njia ya ikulu itakua nyeupe ka kutakua na goal la mikono( in Napes voice). Mwaka uu mgumu tofauti na zamani
hata wakiwa 20 bob ,,,,,,, CCM itaendelea kuongoza hii nchi ... mgombea yeyote atakaye pitishwa njia ya ikulu nyeupe
watu wa membe na makamba ndio watakaoamua mshindi naamini wa makamba wataenda kwa amina na wa membe wataenda kwa migiro magufuli ataambulia wachache kura itarudiwa kati ya amina na asha kisha amina atampia asha kwa kuwa asha anaonekana kujitegemea zaidi kuliko kujuana watu watampigia , Kisha dr slaa atamchukua asha katika uchaguzi na kumwangusha kwenye kisanduku cha kura
Sina imani na Migiro ka Ana aliboronga bunge sembuse u raisi wa nchi hauitaji majaribio.Time will tell....politics is a game of chance .....CCM wamebakiza karata tatu za mwisho ...Magufuli anaonekana kuwa karata ya ushindi, lakini kamwe wasisahau nguvu ya kinamama , pamoja na msukumo wa mawazo ya hasira toka team iliyoshindwa.....anaweza pigiwa kura Asha-Rose kama kura ya patapotea.
Ukawa nao badala ya kuchagua mtu anayekubalika nchi nzima bara na visiwani wanatuletea Slaa. Nchi hii itaendelea kutawaliwa na fisiem daima maana hakuna namna nyingne.
Nape na Kinana walifanya homework kwa kuwasikiliza wanachama. Wanajua kuwa hawa wapiga debe tunaowasikia sana ni ma "middle men" ambao wengi walipata uongozi ndani ya chama kwa kununua (wajumbe wa NEC na wajumbe wa mkutano mkuu). Wanajua inside out kuwa wapiga kura wa kawaida wamechoshwa na uchafu ndani ya chama. They can afford to neglect kelele za hao wa NEC na wajumbe wa mkutano mkuu sababu wanajua wanajiwakilisha wenyewe na maslahi yao tu. The real voter wants to see a clean CCM!! Isiposafishwa CCM hali ni mbaya kwenye uchaguzi. Kibarua cha pili ni kusafisha wagombea ubunge wanaotumia mlungula kuwanunua wanachama kwenye kura za maoni. Mwanzo huu unaonesha they can do it!!
Huyo makufuli ni mnyambo ndio walewale kwa ukabila balaa
Duh! Hiyo process ni ngumu sana kwenye kujumlisha nani rahisi kufanya makosa.
Kwanini isiwe kuchagua jina moja!?