Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Matokeo 3 bora ya Urais CCM

▶Magufuli kura 290

▶Amina kura 284

▶Migiro kura 280

▶Makamba kura 124

▶Membe kura 120
 
Upo kwenye forum usipanik. ....wapiga kura hawafiki mil 40. ..


hata wakiwa 20 bob ,,,,,,, CCM itaendelea kuongoza hii nchi ... mgombea yeyote atakaye pitishwa njia ya ikulu nyeupe
 
Team Lowasa will make sure CCM wanapata mgombea dhaifu ambaye hawezi kushinda general Election...CCM walifikiri wamemkomoa Lowasa sasa itakula kwao big time na ndio matokeo ya siasa za undugu,urafiki na kupendeleana etc naona mwisho wa CCM unakaribia na opposition mkishindwa this time na nyie mpotee milele.
 
Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120

Mbona kura zimezidi idadi ya wajumbe wa NEC?
 
wangekatwa mapma hawa kina membe na lowasa kisha wakaingia watu kama makongoro mtifuano ungekuwa mkubwa sana ..
 
Duh, hii ndiyo inaitwa kuvua gamba!

CCM inazidi kutushangaza!

Kikwete bado yuko kwenye mbio za kuelekea Ikulu kupitia tiketi ya majina ya kike!

Magufuli atazibeba kura za wajumbe wa Kanda ya Ziwa!

Amina Salum Ali atazibeba kura za wajumbe kutoka Zanzibar!
 

Matokeo 3 bora ya Urais CCM

▶Magufuli kura 290

▶Amina kura 284

▶Migiro kura 280

▶Makamba kura 124

▶Membe kura 120

Sijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?
 
Magufuli msukumaaaa....hakuna mhaya anaweza kuongoza nchi hii. Ufisadi na undugu umewajaa sana.
 
Back
Top Bottom