Dusty Foot
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 228
- 300
Kati ya watu wenye furaha leo ni Raila Odinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatuwezi kuongozwa na demu
pamoja na kwamba magufuli kashinda kwenye hatua hii haitanishangaza hatua ya mwisho akashinda mwanamke
Kuna sehemu nimeandika jina la lowassa?
kwa hiyo lowassa akihama ccm ndio atahama nao...?
Mawazo mufilisi hayo ....
HiviMagufuli ni Msukuma? Anatokea wapi?
Amina ana watoto watano. Kachoka, hawezi kuongoza nchi.
Kati ya watu wenye furaha leo ni Raila Odinga
Ume ni quote statement ambayo nilikuwa namjibu mtu aliyezungumza kwamba lowassa ahame kwa anawafuasi wengi...
seems ulidandia train kwa mbele
Migiro namuona akiingia ikulu
kudadeki lowasa kahakikisha membe hatoboi.
sasa ccm kaeni ready,ikibidi kupangua mshindi wa kesho,hawa jamaa wakimpigia kura huyo mama wa kizenji,itabidi mtengue kanuni asee
Amina mbona kapata kura nyingi hivyo....?
Migiro hafai hata kidogo kuwa hata waziri achilia mbali uraisi. Hilo limedhihiri katika bunge la 10 lililokwisha juzi ambapo alionyesha udhaifu mkubwa wa kiuongozi.
Jamani mi nampa magufuli tu si ndo alimpendekeza baasi