Mbele ya Magufuli UKAWA wanatamani wasithubutu hata kutangaza mgombea Urais
Mkuu adui yako muombee njaaa!
mafisadi mshaanza kuweweseka, kimbieni nchi tu
Round ya kwanza tu kura za Magufuli zinafunga mkutano hamna hata haja ya kwenda round ya pili.
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120
Makufuli ooyeeee
Ndo kinachomfanya awe president material?
Na mtaahirisha sana safari hii. Mbele ya Magufuli hamtachomokaMgombea Urais wa UKAWA atatangazwa 14/07/2015, vikao vya mashauriano vimeahirishwa salama na mambo kadhaa tayari yamefikiwa salama.
Mkuu madaraka matamu wewe, hawakubali kumwaga mbogaMkuu sisi tuko nao hapa tangu asubuhi wengi wao wamejaa vinyongo na hasira.Ni full kulalamika mitaani maana wamezagaa mji mzima na wala hawana siri.Anyway, labda watende kinyume na maneno yao kwa hofu ya kupoteza madaraka.
Hakika. Na anapowasalimu anawaomba na kuraMagufuli mjanja kweli na anatumia mda huu kuwasalimu wajumbe...
Mgombea Urais wa UKAWA atatangazwa 14/07/2015, vikao vya mashauriano vimeahirishwa salama na mambo kadhaa tayari yamefikiwa salama.
Yeah. Lazima amsalimie Rais wakenamuona membe anaingia ukumbini anasalimiana na magufuli
Maguful N Mzaliwa Wa Mkoa Upi?
Na mtaahirisha sana safari hii. Mbele ya Magufuli hamtachomoka