Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende Burundi
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...
I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
Mkuu adui yako muombee njaaa!hapa chochote kinawezekana. naomba sana wampitishe huyo mama mzanzibar
Amina pita mama pita ukoge nyoyo za waTz. Sisi wajinga tunahitaji kuongozwa na wewe ili tuerevuke kama
daraja linajengwa na Magufuli huyohuyoWa kigamboni mjiandae kupiga mbizi tu!
Mwigulu kapotea kama upepo,njoo ufute uchafu kwenye makalavat
Sijui UKAWA watawambia nini wananchi kuhusu utendaji kazi yake maana Magufuli kila kijiji cha Tanzania kipo kichwani.Mkuu hapa akipita Magufuli mambo yatakuwa mepesi mno. CCM itapeta kotekote, kwa Wabunge na Urais. Dr. Magufuli ni mtaalam wa kuongea. Akimpigia kampeni mgombea wa ubunge najua atapita.
UKAWA wanamfahamu huyu, kila alipokuwa akienda amekuwa akiungwa mkono na makundi toka vyama vyote.
Mkuu sisi tuko nao hapa tangu asubuhi wengi wao wamejaa vinyongo na hasira.Ni full kulalamika mitaani maana wamezagaa mji mzima na wala hawana siri.Anyway, labda watende kinyume na maneno yao kwa hofu ya kupoteza madaraka.Huwafahamu CCM. Hasira zimeisha na wanaungana ili wabaki madarakani na atakayewabakisha ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Hawawezi kuendelea kuwa na hasira kwamba waipe UKAWA.