dr Akanyonyi Ako
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 244
- 87
Yawezekana
Msumbwa na mnyambo wanaendana?? Au unamanisha msubi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana
Hakika Mkuu. CCM wapo wamoja sasa. Wale vijana wahuni wakiona hivi wanachanganyikiwa
CCM is only targeting the Sukuma land. That's where the voters are!! Their intention is to continue hanging on the power as long as it takes. They're playing with people's mind. Poor Tanzanians I hope their strategy will backfire this time around!!
kuanzia kesho utaona ID nyingi mpya....wengi team lowasa hawatatumia ID hizi....namtafuta MR.PRESIDENT tangu jana ametoweka humu
Hahahahahaaaaaaa! Hawakuwa na jinsi. Wote wamepigwa chini
Naomba mwenye link ya live streaming ya huu mkutano....
Nilikuwa bar moja muda mfupi nikiwa na wajumbe wa mkutano huo mkuu inaonekana wamechukizwa sana na Lowassa kukatwa jina na wanasema "plan B" sasa ni kuchagua mgombea dhaifu huku wakisema ni mwanamke ili akishindana na mgombea wa UKAWA ashindwe.
Jamaa wana hasira na wanalalamika sana.
royal =loyal
Kimya kimya. Katangaza nia kimyakimya; kachukua form kimyakimya; kaomba udhamini kimyakimya; kaingia Dodoma kimyakimya; kachukua kura za NEC kimyakimya. Sasa ndio wakati wake wa kuongea kuomba kura kwa wajumbe wa NEC. Amekuwa mtiifu kufuata taratibu za chama kama ambavyo ni muumini wa kufuata sheria na taratibu. Hapa tutakuwa tumepata kiongozi ambaye atalitendea taifa hili haki.Kiroho safi tunawakaribisha katika SAFARI YA USHINDI WA KIMYAKIMYA, Watanzania wote hususani wafuasi wawagombea wote wa Urais kupitia CCM waliokatwa kupisha safari ya kimyakimya na ushindi mzito
WanaCCM wote karibuni sana katika safiri ya kimyakimya ya ushindi kuelekea Ikulu October 2015, hakuna wa kuzuia safari ya Kimyakimya sasa Ukawa wana haha
hiki kiingereza cha wapi 'good an option'??