Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu naona sasa Chato wajiandae kuna kipindi nilipita pale kulikuwa na taa za kuongozea magari.

Teh teh teh
Duh mkuu ulishafika na huko kumbe! Naam, Chato kuna trafific lights. Naona dalili zote kwamba Dr. Magufuli anapita. Mama Amina atakuwa Makamo.
 
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...


I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi

Naomba mwenye link ya live streaming ya huu mkutano....
 
Kama wajumbe 324 na tuna assume wote wamepigia wagombea watatu jumla ya kura zinatakiwa kuwa 972. Zinaweza kuwa less lakini sio zaidi ya 972.

kajifunze tena mathematics mweupe wewe...x5 hint(max)
 
Team Lowassa tunampigia kura Amina ili ukawa wachukue nchi kiulaini,JK kamwaga ugali nasi tunamwaga mboga.
 
namuona sofia simba kwa sasa roho imesuuzika baada ya kuona wote wamekosa....hahhaaha
 
Round ya kwanza tu kura za Magufuli zinafunga mkutano hamna hata haja ya kwenda round ya pili.
 
Sioni mabango ya baadhi ya mikoa yakipungia ama ndo kambi zimevurugwa?
 
Round ya kwanza tu kura za Magufuli zinafunga mkutano hamna hata haja ya kwenda round ya pili.
Umeona eeeeh! Hapa hakuna haja ya kurudia kura. Zisipotosha inabidi zitoshelezwe
 
Back
Top Bottom