njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
nashukuru kwa update
kulikuwa hakuna umuhimu wa ku quote whole paragraph ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru kwa update
Hawewezi kufanya kosa hilo. Wanataka kubaki madarakani. Hapa ni Dr. Magufuli tena round ya kwanza hakuna kupiga kura round ya pili.Mkimwaga mboga tunamwaga ugali
ndio usemi wa sasa hapa.dodoma..wajumbe wameapa kumpa.amina s ali labda awahi mbele ya haki
yuko hai hiyo ndie.wanamchagua...sty tuned
Wanataka kule ukabila haiwezekani.
Wanataka kuleta udini haiwezekani.
Huu ni wimbo unaimbwa dedication kwa Chadema wanao taka kutupelekea padri Ikulu!
Ndani ya Framework ya sera ya CCM.. Usitegemee Magufuli naye atapata muda wa kuonyesha ubabe.
nashukuru kwa update
Membe naye kakatwa..
Nimeota amina salumu ndo mgombea wa ccm na lowassa mgombea mwenza...dah hii ndoto hii cjui vp!!..ebu tusubir tuone itakuaje...mana kura za hasira za team lowassa zimeacha mpaka nikaota ivo..
tehehehehe TOT wametupa jiwe GIZANI
Huwafahamu CCM. Hasira zimeisha na wanaungana ili wabaki madarakani na atakayewabakisha ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Hawawezi kuendelea kuwa na hasira kwamba waipe UKAWA.Nilikuwa bar moja muda mfupi nikiwa na wajumbe wa mkutano huo mkuu inaonekana wamechukizwa sana na Lowassa kukatwa jina na wanasema "plan B" sasa ni kuchagua mgombea dhaifu huku wakisema ni mwanamke ili akishindana na mgombea wa UKAWA ashindwe.
Jamaa wana hasira na wanalalamika sana.
Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
Hama nchi
Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
Magufuli hawezi kwenda UKAWAMkimpitisha huyo mama UKAWA wanamchukua Magufuli kiulaiiiiini!!!! Afu msikilizie kichapochake