njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
ukawa walikuwa wanajipa MOYO ..... hahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...
I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
Ritz kuna kitu tunajifunza ktk hili, kuna nafasi ambazo ukiwa kama kiongozi, hupaswi kuonyesha waziwazi unafungamana na upande fulani. lakini pia siasa huwa haitabiriki, haya yote yanaweza kuishia Dodoma, watu wakaanza upya na akapewa nafasi ndani ya chama chini ya Magufuli (kama atafanikiwa kupita)!Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose kumpa nafasi ndani ya chama, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.
Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.
Teh teh teh
kwa wale walioajiriwa ukipewa barua ya kuajiriwa kusema unaambiwa "you have to be royal to the employer"
hiki ndicho kimepatia hiyo 5 bora.
Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...
I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
nashukuru kwa updatewakuu habari,
ntakua nawaletea update ya kile kinachojiri kwenye vikao vya ccm vinavyoendelea dodoma. Ntahakikisha kila kitu naweka hapa.
Karibuni sana.
=================
updates;
1. Update;
sasa mchakato unaanza rasmi, wajumbe kamati ya maadili wanaingia ukumbini, cc itafuata, haijajulikana kama na nec itafanyika leo, itategemea na muda utakao tumika na vikao viwili hivyo.
2.update
rais kikwete ameingia ukumbini muda huu
3. Update
kikao cha usalama na maadili kinaendelea. Hiki hata kikiisha hakina briefing. Kama kawaida, ulinzi umeimarishwa na state
4.update
wakuu kuweka updates sio lahisi kama mnavyodhani sababu ulinzi ni mkali na hakuna aliyeruhusiwa kuingia na simu. Kumbuka hii ni kamati ya maadili, hivyo kuweni wavumilivu. Kikao kinaendelea.
5.update 14:46
kamati ya maadili imemaliza kazi yake, sasa ni zamu ya cc kuingia, lakini rais kikwete katoka, kikao kitaanza akirudi.
6. Update 16:00
wajumbe wa cc ndo wameingia sasa hivi, watapewa majina matano na kamati ya maadili ya wagombea urais.
7.update 16:55
team inayomuunga mkono edward lowassa zaidi ya watu 200, wamekutana mchana huu katika ukumbi wa st. Gasper, kuweka msimamo iwapo huyo wanayemtaka hatakuwemo kwenye top 5 ya wagombea waliopitishwa na kamati ya maadili.
8.update 18:50
cc imemaliza kikao chake, nape amesema majina matano yaliyopendekezwa yatatolewa baada ya kufuturu.
9. Update 22:55
cc bado inaendelea, sasa hivi watu wa catering wanawapelekea vyakula na vinywaji (pengine ni daku ya leo kwa waliofunga?)
julai 11, 2015:
1. Update 01:00
cc imemaliza kikao chake; nape kakutana na waandishi na kuna tetesi kuwa kuna kundi lilikuwa linajipanga kufanya mapinduzi ya mwenyekiti wa ccm. Aidha, nchimbi na wenzake wawili wameondoka wakiwa wamejaa jazba na wameonekana kutokubaliana na maamuzi ya cc. Updates zaidi zinafuata...
2. Update 01:20
hatimaye 5 bora imejulikana, ni:
1) bernard membe
2) john magufuli
3) asha rose migiro
4) january makamba
5) amina s. Ali
View attachment 267181
3: Update 12:00
nchimbi, mkono na kibajaji wamezuiwa getini wasiingie mkutanoni kisa hawana vitambulisho. Baada ya tafrani ya takribani robo saa wajumbe hao wameruhusiwa kuingia.
4: Update 12:15
mwenyekiti wa ccm taifa, mh. Kikwete amefungua kikao cha halmashauri kuu taifa (nec) cha kuchuja majina matano nafasi ya kugombea urais.
5: Update 12:51
nec imemaliza kikao cha kupiga kura, tatu bora inatangazwa hivi punde (kama itatokea)
6: Update 13:05
kikao cha halmashauri kuu kimepitisha jina la dr. Shein kuwa mgombea wa urais zanzibar.
7.update 13:25
wanec wametoka nje, hawana imani na cc, wanahoji kwanini membe apite 5 bora, lowassa aachwe?. Wametishia kuifuta cc. Ngoma imeachwa wazee kina mwinyi na mkapa wamebaki wakishauriana na viongozi nini cha kufanya.
8. Update 13:33
hali ni tete dodoma, wapambe wa lowassa, wametishia amani, wamejikusanya kwenye bustani ya nyerere squre wanaimba. Tunamtaka lowassa tunamtaka lowassa...!!
9:update 14:00
mkutano umefunguliwa na mwenyekiti wa chama rais kikwete na kuahirishwa baada ya dakika saba kwa kile wanachodai ni kuruhusu watu wakapate chakula cha mchana. Wakati mwenyekiti wa chama anaingia, wajumbe wa nec walimpokea kwa wimbo wa "tuna imani na lowassa" hadi rais anakaa wameendelea kuimba.
10: Update 17:30
mkutano wa nec, wajumbe wanapiga kura hivi sasa kupata wagombea tatu (3) bora. Mkutano mkuu wa taifa utaanza saa tatu usiku.
11: Update 20:00
![]()
..sasa tukiwa na rais anaitwa Pombe itakuwaje sisi ambao pombe ni haram...
..sasa tukiwa na rais anaitwa Pombe itakuwaje sisi ambao pombe ni haram...
Sorry, baada ya Lowasa kukatwa
Hamna namna tena inabidi uame nchi tu.
Ritz kuna kitu tunajifunza ktk hili, kuna nafasi ambazo ukiwa kama kiongozi, hupaswi kuonyesha waziwazi unafungamana na upande fulani. lakini pia siasa huwa haitabiriki, haya yote yanaweza kuishia Dodoma, watu wakaanza upya na akapewa nafasi ndani ya chama chini ya Magufuli (kama atafanikiwa kupita)!