Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ccm Katika unora wake. Wameingia wakiwa makundi wanatoka wakiwa wamoja. UKAWA wataisoma namba
 
Upinzani kamwe hauwezi kushinda urais kwa kadri tume ya uchaguzi itakuwa imejaa makada wa CCM.

Kwa upinzani UPI CDM wanatoa mgombea bila mchakato wowote yaani ZUZU MBOWE NA FUATA UPEPO WAO tayari mgombea:what::what::what::what::what::what::what::what:
 
..sasa tukiwa na rais anaitwa Pombe itakuwaje sisi ambao pombe ni haram...
 
Wajumbe wako 324...
Wehuu hawaaa...
Au walimpigia m1 m1

Kama wajumbe 324 na tuna assume wote wamepigia wagombea watatu jumla ya kura zinatakiwa kuwa 972. Zinaweza kuwa less lakini sio zaidi ya 972.
 
I think Maghufuli could help the majority of Tanzanians since for him 'black is black' regardless of any context. He is the right guy for Tanzania at this time point.

Possibly your reasons are personal i.e. you are just attacking his personality.
 
Nilikuwa bar moja muda mfupi nikiwa na wajumbe wa mkutano huo mkuu inaonekana wamechukizwa sana na Lowassa kukatwa jina na wanasema "plan B" sasa ni kuchagua mgombea dhaifu huku wakisema ni mwanamke ili akishindana na mgombea wa UKAWA ashindwe.

Jamaa wana hasira na wanalalamika sana.
 
Magufuli amefaulu kwa sababu ya kura za Lowasa. Wengi walimpa kura baadaye Lowasa kukatwa. Sasa kazi kwa UKAWA
 
Back
Top Bottom