Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...


I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi

Pole ndio unabidi ukubaliane na matokeo
 
Mwaga mboga tupige teke na kukanyagakanyaga ugali .

Teh teh teh.......
 
Rais magufuli makamu amina ali waziri mkuu asharose migiro katibu mkuu wa ccm makongoro nyerere
 
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120

Makufuli ooyeeee
 
Nani anataka rais mwenye namba ya sisimizi wote na wadudu warukao na watambaao!
 
Mkuu hapa akipita Magufuli mambo yatakuwa mepesi mno. CCM itapeta kotekote, kwa Wabunge na Urais. Dr. Magufuli ni mtaalam wa kuongea. Akimpigia kampeni mgombea wa ubunge najua atapita.

UKAWA wanamfahamu huyu, kila alipokuwa akienda amekuwa akiungwa mkono na makundi toka vyama vyote.
Sijui UKAWA watawambia nini wananchi kuhusu utendaji kazi yake maana Magufuli kila kijiji cha Tanzania kipo kichwani.
 
Huwafahamu CCM. Hasira zimeisha na wanaungana ili wabaki madarakani na atakayewabakisha ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Hawawezi kuendelea kuwa na hasira kwamba waipe UKAWA.
Mkuu sisi tuko nao hapa tangu asubuhi wengi wao wamejaa vinyongo na hasira.Ni full kulalamika mitaani maana wamezagaa mji mzima na wala hawana siri.Anyway, labda watende kinyume na maneno yao kwa hofu ya kupoteza madaraka.
 
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120

Makufuli oyeeeeeeeeee
 
magufuli dah tujiandae kulala saa kumi na mbili watanzania mlikuwa mnataka rais dictator sasa ccm wamewaletea choice yenu jiandaeni kwa mchaka mchaka dah naanza kutafuta passport yangu ilipo mapema cwezi kulazwa saa kumi na mbili
 
Back
Top Bottom