Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,428
pesa iliyotumika kujenga ukumbi wa ccm imetoka wapi?
achana na Makonda....Lazima Nape atafanya sherehe
we nawe kubwa zima unalia utasema lowassa baba ako...hebu tuondolee uchuro hapa sh*nz taip.
lowasa na warioba hawa angaliani.....!!! NA WAPO KARIBU
mkipata raisi kama mie tunabaki hapahapa tulipo....!!! -Jk
Nape alikuwa anataka kwenda kugombea ubunge jimbo la membe?Membe kukosa uraisi ni pigo kwa Nape
Lowasa namuona amenuna kinoma...
Kuna mda jk kamtaja jina Lowassa Warioba kamgeukia na kucheka ila lowassa kanuna warioba ikabidi atulie!
J3 naenda kukata kadi ya Chama cha Mapinduzi...
Pale akili za Lowasa hazipo anawaza safari ya matumaini imeishia wapi?
mkipata raisi kama mie tunabaki hapahapa tulipo....!!! -Jk
Amenuna anamwangalia Jk kweli amemsaliti uraisi walisema watapeana kijiti