Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

we nawe kubwa zima unalia utasema lowassa baba ako...hebu tuondolee uchuro hapa sh*nz taip.

Wewe nae toka hapa kilaza wewe, unadhani kila aliyemo humu ni mzee mwenzio? Tulia kizee wewe tena huyo niliyemuita POPOMA nimekosea...wewe ndio haswa POPOMA ULIYETUKUKA.
 
Nape alikuwa anataka kwenda kugombea ubunge jimbo la membe?Membe kukosa uraisi ni pigo kwa Nape

alianza kumpinga lowasa tangu ujenzi unaoendelea jengo la vijana dar...lowasa wakati huo alikuwa bodi ya udhamini uvccm
 
ridhiwan kikwete alitoa tweet kwamba rais hawez kutoka kaskazin sipat picha akipita maguful au kwa magufuli sio kaskazin
 
article-2577347-1C2A2B4400000578-756_634x425.jpg
ubungo tunayoitaka
 
Back
Top Bottom