Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Monduri
😂😂😂😂😂😂
 
Jakaya baada ya kuingia ukumbini alianza kumsalimia Lowasa...

Ukimya wa Lowasa una madhara makubwa sana kwa ccm .
Nakumbuka kauli Pasco Lowasa ni raisi iw kwa ccm au nje ya ccm ngoja tuone ndoto zake zitatimia au ndo zitaishia njiani?
 
Last edited by a moderator:
CUF pleaae muachieni Dr Mwinyikambi, Mmeona hata kwenye hotuba ya Kikwete kaitaja Chadema peke yake, wakati kuna vyama zaidi ya 10.
 
duh EL kapowa kinoma.... kwa mbaali namuona mutoto ya mukulima akiwa kapoa akipotezea huku akipitia homework yake kwa kitabu.... nikipepesapepesa macho namuona dogo jembe akiwa katulia kiimya na skafu yake kwa shingo..... nikikodoa mijicho vizur namuona yule mzee aliyenusa 5 bora wa kuuule kusini akiwa dada pembeni khaa amepooooowa dih!! - - - nikiludi kati namuona dogo 5 bora nae aliyenusanusa urais kupitia chama chake cha umeisis na upala kama kofia ya bati mmhh anatia hurumaa........
 
Jakaya ana kipaji cha Siasa za Kiafrika. Mfupa wa kusambaratisha Wanamtandao Mkapa ulimshida yeye kauweza kiulaini.Nchimbi na wenzae sasa aibu imewashika
 
sawa kama nimekuudhi lakini fahamu kuna wasukuma wa chunya, ifakara na hadi zambia wanapatikana..

Sina tatizo na maeoneo waliko au wanakotoka, hoja ilikuwa ni kuwa kama Magufuli na Msukuma (Mwenyekiti CCM mkoa wa Geita) kama ni ndugu ndo maana nikasema Msukuma ni mwenyeji wa Nzera.
 

Hahahah.....!!! Mkuu mbona yule mtu wangu hujamtaja....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…