Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Safari ya Matumaini imekuwa safari ya Majonzi.
Ndo maana ametulia kama wamemwagia maji ya baridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari ya Matumaini imekuwa safari ya Majonzi.
alianza kumpinga lowasa tangu ujenzi unaoendelea jengo la vijana dar...lowasa wakati huo alikuwa bodi ya udhamini uvccm
ridhiwan kikwete alitoa tweet kwamba rais hawez kutoka kaskazin sipat picha akipita maguful au kwa magufuli sio kaskazin
Jakaya baada ya kuingia ukumbini alianza kumsalimia Lowasa...
Kumbe anajua mabaya yake mwaka huu ccm itaondoka madarakani
Jk anajiita mwenyekiti yeye mwenyewe ameshanganyikiwa?
ubungo tunayoitaka![]()
nami nimestuka kusikia hivyo
kaSHAnganyikiwa kivipi mkuu??
Lowasa angepitishwa Nape angehama nchi?
sawa kama nimekuudhi lakini fahamu kuna wasukuma wa chunya, ifakara na hadi zambia wanapatikana..
mkipata raisi kama mie tunabaki hapahapa tulipo....!!! -Jk
Ccm wanaiogopa sana CHADEMA hilo halina ubishi Jk anatambua moto wa ChademaCUF pleaae muachieni Dr Mwinyikambi, Mmeona hata kwenye hotuba ya Kikwete kaitaja Chadema peke yake, wakati kuna vyama zaidi ya 10.
Mwenye nguvu huwa anakatwa?Wanabodi Lowasa nguvu zake zimejidhihirisha leo na hii ni baada ya kuhakikisha Membe na January wanakatwa na hii ni kutokana na ile kauli inaitwa bora tukose wote.
duh EL kapowa kinoma.... kwa mbaali namuona mutoto ya mukulima akiwa kapoa akipotezea huku akipitia homework yake kwa kitabu.... nikipepesapepesa macho namuona dogo jembe akiwa katulia kiimya na skafu yake kwa shingo..... nikikodoa mijicho vizur namuona yule mzee aliyenusa 5 bora wa kuuule kusini akiwa dada pembeni khaa amepooooowa dih!! - - - nikiludi kati namuona dogo 5 bora nae aliyenusanusa urais kupitia chama chake cha umeisis na upala kama kofia ya bati mmhh anatia hurumaa........