Tena tungerudi nyuma mbaya si hapa tulipo
200b!!! wakati hapa nawaza nitapata vipi tuition fee ya semester ijayo. Maisha sio sawa.
Eti nchi haijawa tayari kugombewa na mwanamke? Lini itakuwa tayari? Hadi kufikia wanawake 2 kuwa top 3, ujue mwanamke anaweza.
Lowasa angepitishwa Nape angehama nchi?
kwahiyo kumbe ACT ni mali ya lowasa !