Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

pinda sijui nae atagombea ubunge au ndo anastaafu siasa bila kupenda
 
Hivi jamani kitendo cha nchimbi na wenzake hakistahili kuchukuliwa hatua kweli?
 
Eti nchi haijawa tayari kugombewa na mwanamke? Lini itakuwa tayari? Hadi kufikia wanawake 2 kuwa top 3, ujue mwanamke anaweza.

Bado mfumo dume umekithiri sana jamii zetu, kanda ya ziwa, na din flan hv, ukiweka mwanamke kwa sasa chama kinapoteza kiti cha uprez dar
 
hivi yale makeke ya akina sumaye na sitta yameishia wapi?au walichukua form kimkakati ili hata akikatwa mamvi ionekane ana nongwa wakati wenzake wamekubali yaishe!!!!!kweli jk ana fitna za kizaramo hatari!!!!!
 
Back
Top Bottom