Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ukimya wa Lowasa una madhara makubwa sana kwa ccm .
Nakumbuka kauli Pasco Lowasa ni raisi iw kwa ccm au nje ya ccm ngoja tuone ndoto zake zitatimia au ndo zitaishia njiani?


Lowasa ni small insect ndani ya CCM.. Hana madhara yoyote.
 
Last edited by a moderator:
huyu mama anakoenda siko kabisa..asimzungumzie lowasa
 
namuona mama spika na afro yake ..."tundu lisuuu kaa chini..."......
 
Huyu mama sidhani kama hata alikuwa anategemea kufika hapo maana huo mtetemeko mhhhh???
 
nchi hii haijawahi kufika uchumi wa kati....mama kabugi
 
Huyu mama badala yakuongea jinsi yakuongoza anaanza kuwasifia walioenguliwa.
 
hakyamungu kuna sura nyuma ya kikwete zimenuna sijui ni usalama taifa wale, na samuel sitta duh
so many angry and disgruntled dudes...damn

Mbona hao uliowataja wote wana smile umeona sura ya Wassira?
 
"mimi sina kundi, ntaunganisha makundi yooote makubwa yaliyojitokeza katika chama hiki kama kundi kubwa la lowasa...."
teh teh huyo ndio Amina
 
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!

Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?

Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…