richjunior4
Member
- Jul 11, 2015
- 6
- 1
Yeap we're not ready to be ruled by woman at all
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!
Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?
Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......
Pole sana Mkuu. Mbona umeatamia sana kwenye mambo ya ccm?mkware ushaanza ubaradhuli!!!
tumpe nafas aongee..kufika tatu bora si mchezo si umeona WAMEKATWA walee
Nadhani alitishwa na wingi wa waliomdhamini LowasaKamtaja lowassa mara mbili....!!!! sijui kwann???,
Bora kamaliza... Naona Lowasa Lowasa nyiiiingiii.... Anatafuta kura kwa spid
duuu huyu mama....!!!!
Hahaaa kweli huyu mama ni mzuri kiukwrli uongo mbaya hachoshi kumtazama.Kachoka na nini kwani? Rais mtarajiwa hapaswi kuchoka kwa kiwango hiki. Ila mmmh! Huyu mama ni mzuri. Anafanana kama yule Joyce Banda wa Malawi
Hahahaaaaa Da Amina yuko nervous kinoma!
Sielewi kabisa huyu kafikaje tatu bora?
Yaani hebu jaribu kumlinganisha huyu hata tu na Dkt. Mahiga......
Saizi atakuwa kwenye vigrossari anagonga virobaMakongoro wapi jamani.
Nimemuona sitta yupo kimyaaaa...!!!!
Hivi jamani kitendo cha nchimbi na wenzake hakistahili kuchukuliwa hatua kweli?
Nadhani alitishwa na wingi wa waliomdhamini Lowasa