Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

This is is a shame, huu ndio mpango w awaswahili?Mbona mwanamke mmoja kama kakarishwa km katuni na mwingine km kapelekwa kusidikiza wakati magufuli km kawaida ni kondoo wa kafara na robot la ccm ?
 
Eti nchi haijawa tayari kugombewa na mwanamke? Lini itakuwa tayari? Hadi kufikia wanawake 2 kuwa top 3, ujue mwanamke anaweza.
Mkuu kweli wanawake wanaweza lakini chondee asiwe jamii ya Makinda!
 
Hawa wajumbe wapuuzi....kwanini hawawapimi wagombea wao, this is too low...Mwenyekiti wao anawashangaa!!
 
Back
Top Bottom