Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

siyo kila kelele huashiria kushangilia, nyingine ni za kuzomea. Tz ikiongozwa na rais mwanamke sirudi nyumbani. Nahama nchi kwa muda mpaka amalize kipindi chake
 
kinana kwa nini anatikisa kichwa ..anakubaliana na Rais wetu Dr. John P. magufuli
 
hujawahi kuwa na hoja we jamaa, unatuaibisha sana wapenda mabadiliko,Badilika
 
Pombe yupo to naive km vile anaongea na mivimu fulani.pumzi hadi ktk mic tunasikia.This guy is a robot ..kwanini achaguliwe yeye na tusinunue robot?
 
Magufuli anazungumza kama Rais na sio mgombea nafasi ya Urais...why?
 
Back
Top Bottom