Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Ukawa mnamsikia magufuli....
Ccm wanaogopa sana moto wa UKAWA bila kuitaja hawasikii raha kabisa mwaka huu tutapiga chini ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukawa mnamsikia magufuli....
Kuchagua ccm ni sawa na kuongozwa na kikwete tena 10 yearz watanzania tuamke...!!
niko nairobi naangalia speeches hizi kupitia clouds tv na ingawa sijui hawa wana siasa watatu vyema, walivyoongea Magufuli kesha shinda. Inakaa delegates wanamfahamu vyema na ana kipawa cha kuongea vyema
Jamani watu hatuamini kila ukweli ndio huo. Zile mbwembwe za kuwa mafuriko hayazuiliwi kwa mikono ila Leo imekua kinyume chake yani jamaa wamezuia kwa kidole tu???
Team ya Lowasa wanamuunga mkono mgombea yupi kati hao watatu?
Pinda mzee wa wapigwe tuu naye AMEKATWA tuumagufuli is over confident,akikosa atazimia ....loh...pinda na makinda wamenuna aisee
niko nairobi naangalia speeches hizi kupitia clouds tv na ingawa sijui hawa wana siasa watatu vyema, walivyoongea Magufuli kesha shinda. Inakaa delegates wanamfahamu vyema na ana kipawa cha kuongea vyema
Mbona wanashangilia wanavunja kanuni?
Kinachohitajika hapo ni kuwashawishi wajumbe wamchague....
Mambo mengine yameshawekwa kwenye Ilani ya chama ambayo endapo atachaguliwa atatumwa kuinadi na baadae kuitekeleza akichaguliwa kuwa Rais....
Dah nimempenda bure namu wish all the best.Hahahaaa...!.
Sijavutiwa na jinsi alivyojieleza magufuli. Ila namuadimire na utendaji wake