Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

hivi kwel hiyoo.. tatu bora yashapitishwa au n mbwembwe tuuu..

ciamin kama membe kapata kura 120.
 
magufuli is over confident,akikosa atazimia ....loh...pinda na makinda wamenuna aisee
 
niko nairobi naangalia speeches hizi kupitia clouds tv na ingawa sijui hawa wana siasa watatu vyema, walivyoongea Magufuli kesha shinda. Inakaa delegates wanamfahamu vyema na ana kipawa cha kuongea vyema

hilo ni jembe
 
Jamani watu hatuamini kila ukweli ndio huo. Zile mbwembwe za kuwa mafuriko hayazuiliwi kwa mikono ila Leo imekua kinyume chake yani jamaa wamezuia kwa kidole tu???

Duu! Sasa itakuwaje kwa wale Mahehe feki wa Bagamoyo waliokwenda kwa Mamvi kujipendekeza?
 
mbona Magufuli kachangamkiwa pekee na kj kamchekeshea kwa watu..... Niiii kama..
 
niko nairobi naangalia speeches hizi kupitia clouds tv na ingawa sijui hawa wana siasa watatu vyema, walivyoongea Magufuli kesha shinda. Inakaa delegates wanamfahamu vyema na ana kipawa cha kuongea vyema

Mtazamo sahihi
ila kuna mwenye mpango wa kupitia dirishani...!!!!
 
Kinachohitajika hapo ni kuwashawishi wajumbe wamchague....

Mambo mengine yameshawekwa kwenye Ilani ya chama ambayo endapo atachaguliwa atatumwa kuinadi na baadae kuitekeleza akichaguliwa kuwa Rais....

Hahaaaaa unajua Nkwingwa kuna watu hawajui muktadha....

Kwenye huu mkutano si sehemu ya kumwaga mipointi kama unapohutubia huko UN.

Hapo ni kushawishi wajumbe wakupigia kura tu halafu hayo mengine baadaye.
 
Back
Top Bottom