Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Upepo uko kwa Magufuli. Wtz wajiandae kumpokeb magufuli kama upinzani hawatajipanga vzr.
 
siku zote watu wa namna hii wasio jua kuzungumza saaana siasa siasa huwa ndio watendaji bora... ENG NENDA KAWE RAIS UNAONEKANA TU KUWA WEWE NI MTU WA KAZI...
 
Magufuli anarudia kila Mara hatawaangusha akichaguliwa, hivi anapanga kuwa akibeba watu. Anaomba atoe takwimu za mabarabara, huyu kweli zimo zote?
 
Hii lafudhi ya Magufuli ndo itakuwa inaunguruma Ikulu? daaaah jamaa asije akafuga ng'ombe ikulu

Yaap .. inabidi aandaliwe mwalimu wa Kiswahili ... (na wa pronunciacion ili akina Jeb Bush wamuelewe)
 
Bado mfumo dume umekithiri sana jamii zetu, kanda ya ziwa, na din flan hv, ukiweka mwanamke kwa sasa chama kinapoteza kiti cha uprez dar

Ila kweli mnaweza..! Kama migiro kule UN aliweza! na kiranja wetu aliyeongoza bunge letu kwa kutumiwa kama remote control...mnaweza.
 
Back
Top Bottom