Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanamuunga John Pombe Magufuli
Naona watu wa kamera wameamua kumkwepesha
Hivi Magufuli ni kabila gani?
Hivi Magufuli ni kabila gani?
Amina bado! Magufuli rais na Asha makamu full stop!
Hii lafudhi ya Magufuli ndo itakuwa inaunguruma Ikulu? daaaah jamaa asije akafuga ng'ombe ikulu
Hivi Magufuli ni kabila gani?
Hivi Magufuli ni kabila gani?
Pombe hajasema CV yake, anajisifu barabara, kajenga kwa hela ya mfukoni mwake?
Bado mfumo dume umekithiri sana jamii zetu, kanda ya ziwa, na din flan hv, ukiweka mwanamke kwa sasa chama kinapoteza kiti cha uprez dar