Mkuu achana naye huyo. Mkandarasi ni Contractor na anaweza kuwa mtu yoyote sio lazima awe amesoma masomo maalum. Ila Mhandisi ni Engineer naye inategemea ni Engineer wa nini. Kama ni wa barabara au umeme n.k itabidi awe amesomea masomo husika. Wewe hapa hukusema kuwa Magufuli ni Mhandisi yaani Engineer na matokeo yake jamaa amekurupuka akidhani kuwa Contractor ndo MhandisiKwani ungeondoa neno la kuniita "Mwehu" ungepata hasara gani?
Any way umeonyesha ni namna gani wazazi wako walivyo (mtoto umleavyo ndivyo akuavyo)
Kwani Engineer husomea masomo gani?
Hahahaha jk kajidhulumu Hahaha alikuwa na ndoto ya kutawala huku akiwa nje ya utawala
big up tunaanza kufuta taratibu mifumo ya kibaguz eti rais hawez toka eneo flan au kabila fulaniCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma (endelea).
❝
Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma, Dk. Magufuli amechaguliwa kwa kura 1560 akifuatiwa na Asha-Rose Migiro aliyepata kura 702 huku Balozi Amina Salum Ali akipata kura 349.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya kikao hicho, Dk. Magufuli amepita kwa kura hizo kutokana na nguvu yake dhidi ya wagombea wengine.
Hakukuwa na namna hapa kwa kuwa, wajumbe wanaamini katika mazingira haya magumu ya upinzani Dk. Magufuli anaaminika na kukubalika nje kuliko hawa wengine, anasema mtoa taarifa na kuongeza;
Baada ya kutemwa Membe (Bernard Membe) kwenye NEC kila mjumbe ambaye alikuwa upande wa Lowassa (Edward Lowassa) alipumua jambo lililomrahisishia Magufuli.
Mkutano huo umehairishwa mpaka saa nne asubuhi, ambapo ndiyo muda ambao Dk. Magufuli ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na Waziri wa Ujenzi atatangazwa rasmi kuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho.
Awali ndani ya ukumbi wa mkutano, kulidawa kuwepo kwa mpango wa wafuasi wa Lowassa kutaka kumpitisha Balozi Amina ili chama hicho kipate changamoto katika kumuuza kwa wananchi ikiwa ni kulipiza kisasi kwa kukatwa mtu wao (Lowassa).
Katika Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho, majina yaliyopitishwa yalikiwa ni Migiro, Magufuli, Balozi Amina, Membe na January Makamba.
Katika Halmashauri Kuu ya CCM yalipita majina matatu ya Dk. Magufuli, Dk. Migiro na Balozi Amina.
Magufuli mgombea Urais CCM | MwanaHALISI Online
Team Lowasa wanangoja tu UKAWA watangaze mgombea wao. Wameapa kuwadhibitishia waliomkata EL kuwa wamefanya kosa kubwa! Bila EL hakuna CCM kushinda! Watamuunga mkono mgombea wa UKAWA kwa nguvu zote!!!!Mkijihusisha na Magufuli tunamkata pia...nyie mmeshapigwa chini katulieni.
Amina aliomba kura za EL hamjampa?
ukijumlisha hizo kura zote unapata karibia 2600 na tumeambiwa wajumbe wapo 2400 na kidogo swali je mpk wenyewe wanajiibia kura?
mbona hujaeleza za Amina na Asha-Rose (am aye naye kwa mjibu wako ni mtu wake)?
Hamjui migiro na magufuli wote wa jk sana
Kwani magufuli lilikuwa ni Chaguo lenu kweli team Lowasa? Au nyie ndo mmeshindwa kupata mnachokitaka, Magufuli ni one of the loyal people to Kikwete, hamuwezi kusema Kikwete hajampata mtu wake, you must be Joking. Mngetoka na Amina Salum au Migiro tungejua kweli mmemnyima Kikwete Chaguo lake. Unachosema sasa ni kujitafutia faraja.
Hauziki!
tuko pamoja mkuu 👍 ngoja tumpe mzee pombe apige kaziMungu ni mwema!