Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nyinyiemu sio wajinga eti wakurupuke wamuweke maghufuli, huyu alishaandaliwa, na ametengenezewa kabisa mazingira ya kushinda, nao wanajua watz alishatupumbaza na zile takwimu zake tukamuona mtenda kazi sn, lazima atabaki kwenye mstari tu!
Na wale walishajipanga vzuri tu hasa kupitia Ku win kura za kanda ya ziwa maana huyu wamemuona hana skendo na ataibeba CCM. Ukichangia na maandalizi ya goal la mkono.
Kweli i feel sorry for my lovely country mana naona hamna jipya sababu system nzima ni mbovu. We need strong institutions zenye kujielewa kwa kuangalia masilahi mapana ya taifa.
Eti Magufuli Ku cremisha barabara na matakwimu ya ujenzi tayari wanamuona anafaaa na ni mtendaji eti mzuri. Wizara yoyote ikipewa budget yake mbona inafanya ka hayo ya Magufuli. In short sitegemei jipya.
 
Samia Hassan jamaani , si mtendaji mzuri hata kidogo.........
Hapo ndio magufuli kaingia Choo cha kike
 
Acha uongo mkapa alikua anasali KKKT AZANIA FRONTT
 
Kumbe Amina alishajua amedampiwa. ... akaahidi hajitoi ccm
 
Mgombea mwenza atiiii??? Nani?? Huyu nimuonae?? Mbona hana mvuto na anaonesha kazubaa??
Kawekwa tuu kama garasa!
 
mgombea mwenza samia suluhu hassan.

Sidhani kama atakuwa msaada kwa magufuli.

Angetafuta jembe la uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…