Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.

Usipoisoma dunia hii inaendaje kwa sasa hvi hutaweza kuisoma tena! hawa marais wa africa wanafuata matakwa ya wakubwa zao wanataka nini! hata ukawa wakiingia madarakani trust me usitengemee mapya! forget abaut that! kwaheri
 
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!

JK alishadadiwa kwa sababu ya uswahili wake na namna wanawake walivyokuwa wanamuona ni handsome. Magufuli anashadadiwa kwa sababu ya utendaji wake na si kitu kingine.
 
Usipoisoma dunia hii inaendaje kwa sasa hvi hutaweza kuisoma tena! hawa marais wa africa wanafuata matakwa ya wakubwa zao wanataka nini! hata ukawa wakiingia madarakani trust me usitengemee mapya! forget abaut that! kwaheri
Uko sahihi viongozi wetu wanaendeshwa na wenye influence kubwa hawana sauti kwa lolote, zaidi ya Ku rimotishwa tu. At least kuchange viongozi kuliko kuoga mabadiliko kwa vile wengine ni waborongaji.
 
Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.

System imeoza, hata awekwe nani atafuata matakwa ya boss zake tu.
 
JK alishadadiwa kwa sababu ya uswahili wake na namna wanawake walivyokuwa wanamuona ni handsome. Magufuli anashadadiwa kwa sababu ya utendaji wake na si kitu kingine.

Utendaji kazi eti!!! Kwenye system ipi? Hii system ishaoza mtamuona tu maghufuli atakavyo kuwa dissolved na mtamsahau kabisaaa!
 
System imeoza, hata awekwe nani atafuata matakwa ya boss zake tu.
Hatari sana unafikiri wao hawataki kulindiwa masilahi yao thubutu! Lazma wamuweke atakaye wa favour. Kwangu kutoka hii system siamini ka kuna jipya na litakalobadilika, na si ajabu hadi Jk watu watamkumbuka.
 
Mwisho wa udhalimu eee Mungu tusaidie tusizamishwe tena mwaka huu kibabe.
 
naomba kujua maisha yakindoa ya asha migiro, mbona anatambulisha wanaume wawili tofauti? kwa anaejua tafadhali.
 
Hatari sana unafikiri wao hawataki kulindiwa masilahi yao thubutu! Lazma wamuweke atakaye wa favour. Kwangu kutoka hii system siamini ka kuna jipya na litakalobadilika, na si ajabu hadi Jk watu watamkumbuka.

Nyinyiemu sio wajinga eti wakurupuke wamuweke maghufuli, huyu alishaandaliwa, na ametengenezewa kabisa mazingira ya kushinda, nao wanajua watz alishatupumbaza na zile takwimu zake tukamuona mtenda kazi sn, lazima atabaki kwenye mstari tu!
 
Back
Top Bottom