Richolic
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 578
- 240
System nzima ya CCM ni mbovu hata awekwe nani tusitegemee mambo mapya yatakua Yale Yale tu.
Kabisa ata ashuke musa Leo awe ndo mgombea ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
System nzima ya CCM ni mbovu hata awekwe nani tusitegemee mambo mapya yatakua Yale Yale tu.
Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.
Hata JK alishadadiwa hivihivi 2005 ila yaliyotokea wote tunajua, lets wait and see, hawa watu wanajua kucheza na mind zetu sn, magufuli anaweza akawa mtu sahihi(japo nahofu hilo) ila sasa system ikaenda ikamvuruga kabisaaaa!!
Uko sahihi viongozi wetu wanaendeshwa na wenye influence kubwa hawana sauti kwa lolote, zaidi ya Ku rimotishwa tu. At least kuchange viongozi kuliko kuoga mabadiliko kwa vile wengine ni waborongaji.Usipoisoma dunia hii inaendaje kwa sasa hvi hutaweza kuisoma tena! hawa marais wa africa wanafuata matakwa ya wakubwa zao wanataka nini! hata ukawa wakiingia madarakani trust me usitengemee mapya! forget abaut that! kwaheri
Yani hapo ndo nashindwaga kuelewa watu. Nakumbuka Jk alishabikiwa ooh Mara handsome, tabasamu, chaguo LA Mungu mchapa kazi,matokeo yake sasa kilichotokea kila mtu analalamika tu.
JK alishadadiwa kwa sababu ya uswahili wake na namna wanawake walivyokuwa wanamuona ni handsome. Magufuli anashadadiwa kwa sababu ya utendaji wake na si kitu kingine.
Hatari sana unafikiri wao hawataki kulindiwa masilahi yao thubutu! Lazma wamuweke atakaye wa favour. Kwangu kutoka hii system siamini ka kuna jipya na litakalobadilika, na si ajabu hadi Jk watu watamkumbuka.System imeoza, hata awekwe nani atafuata matakwa ya boss zake tu.
Hahaaaaa mama kaaajaliwa na Mwenyezi Mungu aki smile ndo usiseme. Kabarikiwa aisee sasa kiuongozi ndo sijui yuko.Mama huyu jicho lake tu mimi hoi.Aya Amina twende kazi
Hahaaaaa mama kaaajaliwa na Mwenyezi Mungu aki smile ndo usiseme. Kabarikiwa aisee sasa kiuongozi ndo sijui yuko.
Hatari sana unafikiri wao hawataki kulindiwa masilahi yao thubutu! Lazma wamuweke atakaye wa favour. Kwangu kutoka hii system siamini ka kuna jipya na litakalobadilika, na si ajabu hadi Jk watu watamkumbuka.
Huyu mama Amina kajaaliwa aisee.