Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Dah kazi kweli kweli...hii ni zaidi ya Mayweather VS Manpacuiao
 
Watu wanaoweza kutupa changamoto UKAWA lakini sio kutushinda ni MAKO na MAGUFURI tu.. wengine hamna kitu
 
1.Augustino Ramadhan
2.Asha Migiro
3.Makongoro
4.Kayanda Mizengo
5.Pombe,John
Wengine mwenyekiti amewaomba wajaribu tena 2025.Kambi ya EL yatangaza kuhamia kwa Asha Migiro.
Kikao cha CC kimemalizika kama dakika 20 zilizopita
 
Wamezoea khchelewesha matoke ya kura ili wapate kuchakachua sasa Leo wanataka kuchakachua majina ya wagombea

te te te te....wanadhani kuna wapinzani kumbe wako wenyew wamesahau...Tanzania raha sana
 
mimi niwaombe we Tanzanian tuwe na subira kuna uongo mkubwa kwenda mitandao hii ya kijamii, why do you predict things which are not true?
 
Top 5 rasmi
1.Lowassa
2.makongoro
3.sumaye
4.agustino
5.magufuli
 
Back
Top Bottom