Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Apa ndo utajua jinsi ccm ilo na nguvu watu wanashndwa had lala hawataki kuskia wala kutamani kujua habari za Ukawa...
 
Nijuavyo Lowasa tayari keshajua maana ana wafuasi wake mule ndani ya CC.. kama kakatwa tayari ingejulikana... ila sababu hajakatwa wameamua kukaa kimya ili baadae iwe surprise

Lowasa imeshindikana/kakatwa

Jaji Augustino & Pinda wako tano bora majina yote kutangazwa baada ya nusu saa
 
Nijuavyo Lowasa tayari keshajua maana ana wafuasi wake mule ndani ya CC.. kama kakatwa tayari ingejulikana... ila sababu hajakatwa wameamua kukaa kimya ili baadae iwe surprise
kwani haijajulikana,mbona taarifa zimezagaa.Team Lowasa wameshapoteana hawawezi kuchomoza tena.ni kama Yanga ikibutulia 5 bila na Simba unadhani Jeri Muro ataleta kidomo domo
 
Mwaka huu mtashudia ccm inavyopasuka vipande viwili mamvi anaondoka na nusu ya ya mataycoon kuanzisha chama kipya endapo mazungumzo na ukawa yakiferi kumbuka ukawa bado hawajatangaza mgombea wao kinachooendelea Dodoma kinawahusu sana kwa kuanzia kuna gari 60 zimeagizwa na timu mamvi kabla ya September zinatakiwa kuanza kazi moja tu kila MTU anaijua tusubiri ........
 
Ali mbaya sana Dodoma akatwe au hasikatwe Chama kinameguka. Majina tiar yapo lakin jinsi ya kuyatangaza ndo shidah iliyobaki ndo maana wanachelewa na kuongeza mda
 
Tayari kitendawili kimeteguliwaaaa! Walombali na TV ntakujuzeni hivi punde.Check Azam Two.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…