Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

wamemla kichwa......huwezi kujiweka kuwa target halafu ukibutuliwa ulalamike...
 
Hapo patamu na anaombea lowasa asipitishwe maana anaweza akawa mkimbizi ghafla chezea lowasa wewe
 
Mwaka huu mtashudia ccm inavyopasuka vipande viwili mamvi anaondoka na nusu ya ya mataycoon kuanzisha chama kipya endapo mazungumzo na ukawa yakiferi kumbuka ukawa bado hawajatangaza mgombea wao kinachooendelea Dodoma kinawahusu sana kwa kuanzia kuna gari 60 zimeagizwa na timu mamvi kabla ya September zinatakiwa kuanza kazi moja tu kila MTU anaijua tusubiri ........

Sina upande inapokuja masuala ya chama, ila kwa nini wengi mnafikiria UKAWA au ACT wanaweza kumchukua Lwasa apeperushe bendera yao endapo Lwasa atakatwa sisiemu? hilo litakuwa ni bonge la OWN GOAL tena ktk extra time ile ya sudden death goal!!
HAWAWEZI msajili ktk vyama vyao labda wawe mataahira!
 
Back
Top Bottom