Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Huyu Nape ana maneno na mbwembwe sana yaani anavyobwabwaja na kuarusha roho watia nia. Huyu anafaa sana kuwa kama yule msemaji wa Iraq kipindi cha vita na USA na partners wake.
 
Kikao cha CC ya CCM kinaendelea baada ya futari kwahiyo habari zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa majina 5 yameshajulikana siyo za kweli.................Chanzo Channel Ten taarifa ya habari
 
Wakimkata tu..wameanguka

nani huyo? duh yaani watu walivyo na usongo, naona kama mgombea wa ccm tayari ashaapishwa tu. UKAWA mtasubiri sana. na nimushauri Dr. Slaa achukue ubunge kwenye ngome mojawapo ya ccm
 
Top 5 rasmi
1.Lowassa
2.makongoro
3.sumaye
4.agustino
5.magufuli


Mtakosea Na Kubashiri Hadi Mtajikuta Mnawataja Na Wazazi / Waume Na Wake Zenu. Lowassa Hayupo Na Ameshakatwa Amini Maneno Yangu.
 
Back
Top Bottom