Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshakatwa tayari!!!
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Huyu ndio kiboko yao, ikatokea akateuliwa na CCM, UKAWA hawataambulia zaidi ya asilimia mbili ya kura zote za urais.Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Kakatwa tayari!
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Kweli CCM chama Tawala Pro CDM , UKAWA , wanafuatilia pia ?
CCM OYEE!!
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Walikuwa wanapiga hela hao hamna lolote.
Hebu pitia Comment nyingi zinazotaka LOWASSA akatwe, kwenye thread hii tu, uone kama sio wale wale wana BAVICHA na WanaCHADEMA wengine.Mparuane wenyewe lawama muwape UKAWA.
Nani kakudanganya?watakatwa wote lakini sio lowasa,ama CCM ikatike au lowasa akatwe.
Huyu ndio kiboko yao, ikatokea akateuliwa na CCM, UKAWA hawataambulia zaidi ya asilimia mbili ya kura zote za urais.
Hahahaaa kumbe na wewe umestukia eeh?
Ukiona mtu anaogopwa sana na mpinzani wako basi jua kuwa huyo ndo anafaa.
Manake kama angekuwa hafai wangejinyamazia kimya tu ili CCM wamchague mgombea bomu halafu waje wamshinde kwenye uchaguzi.
Lakini sasa hivi ni kana kwamba wana-UKAWA wanaishauri CCM kuhusu nani anafaa na nani hafai.
I mean, kwa nini Lowassa anachukiwa hivyo?
I guess if you ain't got no haters you ain't poppin' and on that note Lowassa is definitely poppin'.
Asha rose migiro ndio raisi
Nani kakudanganya?watakatwa wote lakini sio lowasa,ama CCM ikatike au lowasa akatwe.