Hebu pitia Comment nyingi zinazotaka LOWASSA akatwe, kwenye thread hii tu, uone kama sio wale wale wana BAVICHA na WanaCHADEMA wengine.
Nami nasema akatwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu pitia Comment nyingi zinazotaka LOWASSA akatwe, kwenye thread hii tu, uone kama sio wale wale wana BAVICHA na WanaCHADEMA wengine.
Litaugua pressure then resting in trouble follows.
soma mwanahalisi online kuna hot news
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.

itakuwa gubuHaya maneno humu jf hayatakiwi sijui kwanini
Lowassa ni nani ndani ya nchi hii ni nani ndani ya ccm watz hacheni uoga
Nakubaliana na ukweli huu...japo unaumiza wengi...
Mbona wewe uwa unakodoa macho kwenye mambo ya CHADEMA..wakati wa kumfukuza zitto ulikesha jf kama bundi
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.
Mnafuatilia huu Mchakato kuliko sisi wahusika, Kunani? Si mtuache tuchague mgombea wetu? Wa kwenu si anajulikana ni MZEE SLAA?Umepanic