Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote mko roho juu mnamsubiri Rais atangazwe Leo. Acha kujikosha!CCM ni genge la wahalifu...mpaka saa hizi wapo kimya...shenzi kabsaa
chama cha hovyo sana watu 30 wanashindwa kutoa maamuzi ,kisha kuna watia nia wapo kwenye kikao si haki
Ngoja nilale, mtanijuza kilichojiri hata PM.
Lowasa ndio rais wetu ajae
Leo, wewe na washirika wako lazima mpate wazimu, LOWASSA hajakatwa, hakatwi, wala hatakatwa, huyo ndio muoarobaini wenu.fisadi lowassa litakatwa na kubakishwa mafisadi mengine matano...utakun.ya boga wewe msalani a.k.a chooni cha shimo.
××××SIJAWAHI KUTABIRI NIKAKOSEA×××××
Toka mwaka 1995 sasa huu ni utabiri wangu binafsi. Utabiri ni makisirio yna kabla yanayojumlisha mambo mengi(huwa ni close to actual or equivalence). UTABIRI ni kuwa majina matano ya CC yatapita na wengi wataondolewa kwa vigezo vi3 ukiacha ushauri wa baraza la wazeee 1. Kutokuwa na ujuzi wa uongozi ndani ya chama 2. Kutokuaminika kwa waliowahi kuasi chama wakahama na kurudi tena 3. Kutokuwa na ujuzi wa Uongozi na ujuzi wa serikali ya Jamhuri. Watano ni hawa
1. Lowasa
2. Dr. Bilali
3. Pinda.
4. Membe
5. Asharose
Na kutoka NEC, kwa kuwa NEC ina wajumbe 401 basi majibu yatakuwa hivi;
1. Lowasa 211
2. Membe 78
3. Pinda 45
4. Asharose 38
5. Bilali 22
Kura 7 zitaharibika.
Mkutano mkuu yataenda majina ma3 Lowasa, Membe na Pinda na wajumbe wa mkutano mkuu wapo 2600 matokeo yatakua kama ifuatavyo;
1. Lowasa 1678
2. Membe 655
3 Pinda 240
Kura 17 zitaharibika
Lowasa atashinda kwa kishindo(zaidi ya 60%) na Mgombea mwenza atakua ni Bilali kubalance Muungano, Pia mamlaka itamtaka ampe Membe uwaziri mkuu #makubaliano kubalance team# hivyo Membe ataenda kugombea ubunge hata kama alishaaga.
Narudia: Safari ya Matumaini siipendi ila kwa Busara ya haraka hakuna Jinsi tunaipenda CCM yetu, wana CCM tupo mil 6 wapiga kura ni mil 24. #Utabiri Binafsi#
By Banyamulenge Mkwawa.
Forwaded as received
Asante baba, Ubarikiwe!