Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hayo ndo majina yaliyopitishwa na ccm kuingia tano bora. Usiku mwema wajameni.
 
Mna bahati tunaenda kulala sasa....tukutane kesho...Tunzeni maneno kwani mwisho wa ubaya ni aibu....
"Beggers can't be choosers"
 
Kama ccm ingekuwa ni chama makini wasingepoteza muda wote huo kutafuta hiyo wana 5 bora.

Najiuliza hivi ccm walikuwa wapi siku zote wasiwajadili hao wanaowaita mafisadi ambao hawajachafuka sana/

Alafu leo wanakaa na kujidai wanajadili
 
Tulimpatia El uenyekiti wa ulinzi na usalama bungeni kwa lengo la kuwaandaa viongoz wake wa ulinzi kama bodyguard,mkuu wa majeshi nk.Leo mnahangaika rohoni kwa lipi?
 
fisadi lowassa litakatwa na kubakishwa mafisadi mengine matano...utakun.ya boga wewe msalani a.k.a chooni cha shimo.
Leo, wewe na washirika wako lazima mpate wazimu, LOWASSA hajakatwa, hakatwi, wala hatakatwa, huyo ndio muoarobaini wenu.
 

Hii ndio shida ya mtu kupost kabla ya kula futari.

Haya bwana, ebu chezesha hicho kibuyu chako tuangalie kati ya Lowasa vs Silaa kura zitakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…