Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

leo cilali yethuuuu na maria uwiiiii
membe yu wp?
Lowasa?
Asharose
magufuli
mwandosya
uwiiii iruwa wakwa
 
Wadau mmeshaambiwa, majina matano yatajulikana kesho yatakapopelekwa kwenye kikao cha NEC, so taarifa zingine ni uongo jamani, tuwe Makini na kukumbuka kuna sheria ya makosa ya mtandao, tukale tuisubiri kesho nayo siku, mwisho wa siku atajulikana tu. Mnayetaka AKATWE, atakatwa tu, eenh, maana sasa Hamna namna
 

Tutazitoza kodi, ama zitaozea bandarini
 
FaizaFoxy
Re: Updates za kinachojiri katika vikao vya CCM Dodoma

By Lizaboni

Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM,KIKWETE ndani ya NEC



Wamechelewa jamvini karamu imeshaliwa.​
ilikuwa kuvuana maGAMBA sasa hivi kumKATA
kumvua gamba mlishindwa mtaweza kumkataaaaaaaaaaa???????????????
 

Kafie mbele mganga wa kienyeji nyangau wewe
 
Kumkata Lowassa Lazima ujipange ,wataghairisha weeee at the end Laigwanan ndani.
 
 
Ratiba inavyosema,
Saa 4-7 mchana
kamati ya maadili (tayari)√

Saa 8- 12 jioni
Kamati kuu CC - majina matano (tayari)√
Je kwanini majina yameshindwa kutajwa?

Saa 2 usiku
NEC - majina matatu (kikao kinaendelea)

Hatu lali mpaka watupe MKONO
 

Mkuu umenifanya nicheke sana kwa hii coment aisee
 
kwani haijajulikana,mbona taarifa zimezagaa.Team Lowasa wameshapoteana hawawezi kuchomoza tena.ni kama Yanga ikibutulia 5 bila na Simba unadhani Jeri Muro ataleta kidomo domo

Mambo yako ya Lowasa usiyafananishe na umoja wa mataifa -Yanga
 

Na hapatakalika hapa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…