Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapo sijakuelewa
 
Acha nijongeee nikampumulie mtu maana kukatwaa kutwaaa nimekatwa gov..i sembuse jina!!?
 
Naona bora nilale nikiamka nijue nini kimetokea
 
Mechi ya leo nikama ya konda na denti wanashikana mashati pale denti anapoketi.
 
siku zoteasiye kubali kushindwa simshindanitunachowaomba watulie wajipange wakati mwengine hii nchi ni ya amani kwani wanalazimisha pale magogoni kuna nini
 
Sio kazi rahisi kutafuta kiongozi.. Tuwe na subira watanzania.. Acheni watu wafanye kazi yao.. Habari za ukweli ni kesho asubuhi ✌🏿️✌🏿✌🏿✌🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…