Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kawatesaLowasa kwa nini unaitesa hivyo ccm?
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?
Wataunda tume ya maridhianoNaona wajumbe wamegoma kuitikia zidumu, ''zidumu fikra za mwenyekiti''.
Ujue nayeye atahamia hospitariHata kama akikatwa keshaweka historia.. Haijawahi tokea NEC kuchukua muda mrefu kupitisha mgombea