Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jf mmekuwa.na maneno machafu kama watoto wengine tunaangalia mtoto yukowapi ndio tufungue....
 
Kwani pabaya ni kwenye 5........
shida ipo kwenye 5 - 2 = ........
ndipo tarakimu zinapokuwa ngumu...........
 
kwanini asipochaguliwa Lowasa awe kakatwa lakini asipochaguliwa mwingulu iwe sawa tu? kwani Lowasa yeye ni nani hata hasipochaguliwa awe kakatwa? Nauliza tuu
 
Hii nchi si yake wala babake,hana mamlaka ya kuamua rais atoke kanda gani!ACHA UBAGUZI!

Ungese huu huu wa kufanya kana kwamba Nchi yao ndio Mzee Kingunge alikuwa anaukemea juzi then watu wanamtukana. Huyu dogo na kikundi chake kidogo cha kijinga washaifanya hii Nchi ni mali yao peke yao kuwa wanatuamulia watakalo,kitanuka tuu muda si mrefu. Kumbe wanamfitini Lowasa kwa sababu ya Ukanda wake sio?
 
Duu ukweli ndio huu sasa haya ys riz yauongo kweli? Narudia ukweli ndio huu

Timu ya Lowassa wanatumia njia za hatari sana kuhalalisha uharamia wake.Wameitengeneza hiyo msg feki ya Ridhiwani ili kuonyesha eti Lowasaa anakatwa kwa sababu ya eneo lake.

Lowasaa itadhani bila urais atakufa.
 
Tano bora tayari
Subirini Tatu bora tu waJF hapo 11/03/2015
Mafaili bado tunayapitia kwa umakini
Mlale sasa
 
Leo sisi walinzi tuna kampani ya kutosha, niko bize na Lowasa utafikiri siko kwa lindo
 
Ntashangaa jamii wakiifuta hii ,mi nataka niwe updeted tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…