Sasa Ndugu Yangu Mchakato Wa CCM Dodoma Unatutesa Mpaka Sasa Watu Hatujalala Na Tunahangaika Na Wewe Unakuja Na Post Yako Ya Kiingereza Chako Kigumu Je Huku Kama Siyo Na Wewe Kututesa Ni Nini? Wewe Hutuhurumii Mkuu? Acha Hizo. Huku Kubashiri Kwenyewe Tu 5 Bora Bado Kunatuhangaisha Humu Na Nadhani Unatuona Vizuri Sana Tulivyochukuwa Majukumu Ya Wapiga Ramli Leo!
Hiyo Nchi anakabidhiwa Migiro au Magufuli au sita kivipi? Aliyekwambia atakayepita hapo ndio anakua Raisi ni nani? Hii sio mbio za vijiti unakabidhiwa tu. Yeyote atakayepita hapo uraisi atausikia tu. It's time for changes otherwise this country will remain stagnant forever.Ni Rasmi Sasa Kuwa Lowassa Amekatwa. Mtakao Niamini Vizuri Na Mtakaoona Natania Shauri Yenu Na Nyie Watu Wa Team Membe Hata Yeye Pia Hayupo Na Amekatwa. Taarifa Kamili Ni Kuanzia Saa 7 au Saa 8 Usiku Na Wanafanya Hivi Kwakuwa Kutakuwa Hakuna Watu Wengi Pale Maeneo Na Ulinzi Usiku Huu Umeimarishwa Maradufu Kupambana Na Wale Wahuni Wa Lowassa Waliopanga Kufanya Vurugu. Sasa Kikao Cha Kuwatafuta 3 Bora Kinaendelea Na Wakimaliza Tu Kuwapata Nape Atazungumza Na Waandishi Wa Habari Ambao Wameweka Kambi Hapo Hapo Ukumbini. Narudia Tena Kusema Si Lowassa Wala Membe Aliopita 5 Bora Na Timu Ya Lowassa Inataka Kufanya UMAFIA Kwa Kuhakikisha Kuwa Asha Rose Migiro Anapeta Katika 3 Bora Ili Wapige Kura Za Maruhani ( Za Kukomoana ) Ili Mwanamke Achukue Nchi Ila Wazee Wanajitahidi Kuhakikisha Nchi Anakabidhiwa Magufuli au Mwandosya au Sitta Na Katika Umakamu Imeshaamriwa Awe Jaji Ramadhan. So Far Hii Ndiyo Latest Yangu Kwenu Na Nina Uhakika Nayo 100%.
I always trusted you bro and this post is marked to increse my your reputation to me. Tuonane asubuhi
Mambo yametoka moderator anafanya utoto anafuta post
I Just Admire Your English BUT I am very Keen To Know Which School Did You Got To And If Possible To Know Which Teacher Taught You This Kind Of English Otherwise I Appreciate Your Compliment Towards Me And May You Please Keep On Trusting Me.
we uongo wako unafanana na kweli kdogo
Hiyo Nchi anakabidhiwa Migiro au Magufuli au sita kivipi? Aliyekwambia atakayepita hapo ndio anakua Raisi ni nani? Hii sio mbio za vijiti unakabidhiwa tu. Yeyote atakayepita hapo uraisi atausikia tu. It's time for changes otherwise this country will remain stagnant forever.
Leo Umeamua Ubadili Na ID Wakati Unajulikana Ni Yule Yule Tu Dada Yetu Mdini Na Usiyempenda Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere. Heko!
kumbe upo mbona upo kimya sana unaacha vijana wa lowasa wanamchezea jk?
Ni Rasmi Sasa Kuwa Lowassa Amekatwa. Mtakao Niamini Vizuri Na Mtakaoona Natania Shauri Yenu Na Nyie Watu Wa Team Membe Hata Yeye Pia Hayupo Na Amekatwa. Taarifa Kamili Ni Kuanzia Saa 7 au Saa 8 Usiku Na Wanafanya Hivi Kwakuwa Kutakuwa Hakuna Watu Wengi Pale Maeneo Na Ulinzi Usiku Huu Umeimarishwa Maradufu Kupambana Na Wale Wahuni Wa Lowassa Waliopanga Kufanya Vurugu. Sasa Kikao Cha Kuwatafuta 3 Bora Kinaendelea Na Wakimaliza Tu Kuwapata Nape Atazungumza Na Waandishi Wa Habari Ambao Wameweka Kambi Hapo Hapo Ukumbini. Narudia Tena Kusema Si Lowassa Wala Membe Aliopita 5 Bora Na Timu Ya Lowassa Inataka Kufanya UMAFIA Kwa Kuhakikisha Kuwa Asha Rose Migiro Anapeta Katika 3 Bora Ili Wapige Kura Za Maruhani ( Za Kukomoana ) Ili Mwanamke Achukue Nchi Ila Wazee Wanajitahidi Kuhakikisha Nchi Anakabidhiwa Magufuli au Mwandosya au Sitta Na Katika Umakamu Imeshaamriwa Awe Jaji Ramadhan. So Far Hii Ndiyo Latest Yangu Kwenu Na Nina Uhakika Nayo 100%.