ILLICH
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 239
- 183
Sasa Ndugu Yangu Mchakato Wa CCM Dodoma Unatutesa Mpaka Sasa Watu Hatujalala Na Tunahangaika Na Wewe Unakuja Na Post Yako Ya Kiingereza Chako Kigumu Je Huku Kama Siyo Na Wewe Kututesa Ni Nini? Wewe Hutuhurumii Mkuu? Acha Hizo. Huku Kubashiri Kwenyewe Tu 5 Bora Bado Kunatuhangaisha Humu Na Nadhani Unatuona Vizuri Sana Tulivyochukuwa Majukumu Ya Wapiga Ramli Leo!
Mkuu umenifanya nicheke sana, maana mimi sijaelewa chochote kwenye hicho kiingereza chake