I Just Admire Your English BUT I am very Keen To Know Which School Did You Go To And If Possible To Know Which Teacher Taught You This Kind Of English Otherwise I Appreciate Your Compliment Towards Me And May You Please Keep On Trusting Me.
Kikwete anamalizia muda wake na wala hajali ni nani ataekuwa Rais ajae, wameshindwa kumchezea jana na juzi wataweza leo?
Unanshangaza!
Panapokua na alama ya ulizo haimaanishi ni kugombezwa, hilo ni swali, na ukiuliza unasubiri ujibiwe sio kutukana. Haya nakujibu sasa... Nimeuliza na kutoa maelezo na wala sio kugomba... Haya tukana sasa hiyo swine yako.Unaniambia au Unanigombeza? Swine!
I Just Admire Your English BUT I am very Keen To Know Which School Did You Go To And If Possible To Know Which Teacher Taught You This Kind Of English Otherwise I Appreciate Your Compliment Towards Me And May You Please Keep On Trusting Me.
Huyo fox Naona anakimbia kivuli chake
duh .. kumbe deadline nayo Iran nayo imesongezwa mbele? ccm kwa kuiga hawajambo
I always trusted you bro and this post is marked to increse my your reputation to me. Tuonane asubuhi