Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nchimbi, Sofia simba wamekasirishwa sana na maamuzi ya kamati kuu wamesema wanaokubalika wamekatwa!
hawa e mm wote ni team lowasa yawezekana mzee kakatwa
source; clouds fm
 
Nchimbi, Sofia simba wamekasirishwa sana na maamuzi ya kamati kuu wamesema wanaokubalika wamekatwa!
hawa e mm wote ni team lowasa yawezekana mzee kakatwa
source; clouds fm

Tatizo team lowassa walikuwa wanaamini sana utabiri wa nabii wa uongo TB Joshua
 
Go And Learn The Meaning Of Trademark Then Come Back To Me Quickly So That We Can Now Argue Logically. Otherwise I Just Advice You To Keep Your Pig Mouth Shut.

Duuh we jamaaa unaandika mwandiko na heading kama Dissertation
 
Mkuu anamtaka Membe ndie awe rais.hakuna namna Benard membe ndio atasimama kwa Chama cha mafisi.
 
kwa kauli ya Nchimbi...na uwepo wa Sophia Simba pemben yake,inaonesha jamaa amekatwa...haya sasa act chukuen mtu wenu mkagawane kura na chichiem....UKAWA NJIA NYEUPE SASA...MCHEZO NI KATI YA MAGAMBA NA TOTO LAO
 
Ugumu waupatao CCM nadhani ni kuwa wakimpitisha Lowassa inabidi na Membe apite kwenda kikao cha NEC...

Akikatwa mmoja pia inabidi wakatwe wote...

Kauli ya Dk Nchimbi kulalamikia mchakato mzima nayo inaonesha kuna surprise ya majina yatayotajwa kukipambazuka...

Hili ni pigo kwa team lowassa maana hapo kesho kunauwezekano mkubwa hayo majina matano yasitajwe yakapelekwa moja kwa moja kwenye halimshauri kuu ambapo ni majina matatu yatasomwa.
 
Ugumu waupatao CCM nadhani ni kuwa wakimpitisha Lowassa inabidi na Membe apite kwenda kikao cha NEC...

Akikatwa mmoja pia inabidi wakatwe wote...

Kauli ya Dk Nchimbi kulalamikia mchakato mzima nayo inaonesha kuna surprise ya majina yatayotajwa kukipambazuka...

hahahaha hao walishapanga kuifilisi nchi, wenzao wamewashitukia.
 
Back
Top Bottom